NGUZO MUHIMU KATIKA BIASHARA YOYOTE. Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa biashara mpya nyingi huanzishwa kila Siku, kila wiki, kila mwaka. Huku biashara nyingi zinaendelea kuanzishwa, zipo pia biashara nyingi nyingine zikifungwa au kufa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo: usimamizi mbovu, ukosefu wa elimu ya pesa na biashara, kufilisika, madeni kutoka taasisi za kifedha, wizi, majanga ya asili, kuendesha biashara kwa hasara bila kujua n.k. Biashara yoyote inategemea wateja ili iendelee kukua. Biashara yoyote ina hitaji usimamizi mzuri, biashara yoyote inahitaji uendeshaji mzuri. Nguzo 8 muhimu. Kuanzisha biashara na kuhakikisha biashara yako inakua ni mkururo au mfululizo wa mambo mengi muhimu ambayo mafanyabiashara lazima azingatie. Hapa chini nitaelezea mambo kumi (8) muhimu katika biashara: Nidhamu binafsi katika biashara. Uthubutu katika biashara. Uvumilivu mkubwa hasa biashara inapopitia changamoto. Utambuzi wa hali ya juu kuhus...
Posts
Showing posts from October, 2017