NGUZO MUHIMU KATIKA BIASHARA YOYOTE. Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa biashara mpya nyingi huanzishwa kila Siku, kila wiki, kila mwaka. Huku biashara nyingi zinaendelea kuanzishwa, zipo pia biashara nyingi nyingine zikifungwa au kufa kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo: usimamizi mbovu, ukosefu wa elimu ya pesa na biashara, kufilisika, madeni kutoka taasisi za kifedha, wizi, majanga ya asili, kuendesha biashara kwa hasara bila kujua n.k. Biashara yoyote inategemea wateja ili iendelee kukua. Biashara yoyote ina hitaji usimamizi mzuri, biashara yoyote inahitaji uendeshaji mzuri. Nguzo 8 muhimu. Kuanzisha biashara na kuhakikisha biashara yako inakua ni mkururo au mfululizo wa mambo mengi muhimu ambayo mafanyabiashara lazima azingatie. Hapa chini nitaelezea mambo kumi (8) muhimu katika biashara: Nidhamu binafsi katika biashara. Uthubutu katika biashara. Uvumilivu mkubwa hasa biashara inapopitia changamoto. Utambuzi wa hali ya juu kuhus...
Posts
UWE HALISI KATIKA MAISHA
- Get link
- X
- Other Apps
Uwe halisi maisha yako . Kanuni hii itakupa maisha halisi: fikra+ maneno+ matendo. Je unafikiria nini?, je unanena maneno( unasema) gani? na je unatenda nini Kila siku? Mtu hufikiria kwanza halafu hunena maneno na kisha matendo ya kile aidha alichofikiria au alichonena. Ili kuwa halisi katika maisha yako ni lazima kanuni hii uizingatie. Maisha halisi ni yale yanayotokana na muunganiko wa fikra ,maneno na matendo. Maisha yako halisi ni yale ambayo sio ya kuiga, sio maisha kigeu kigeu. Ni maisha yenye msimamo yanayojengwa na dhamiri ya ndani na kudhihirishwa kwa maneno na matendo. Hebu kanuni hii inavyofanya kazi. Fikra: Mwanadamu amejaliwa uwezo wa kufikiri mambo mbali mbali bila ukomo. Fikra zinatokana na utashi na yako, ndiyo kusema huwezi kufikiria kitu ambacho kipo nje ya ngazi fulani ya utambuzi wako. Mtu huwa na fikra za namna mbili yaani fikra chanya na fikra hasi. sahihi ili uweze kuneno kwa usahihi. Vinginevyo utakuwa wanachokiita lugha ya siasa yaani kuwa m...
Mambo matano( 5) unayohitaji ili kubadili maisha yako
- Get link
- X
- Other Apps
Maisha ya kila mtu ni matokeo ya akili na utashi wa kila mtu katika maisha yake. Kwa maneno mengine maisha yetu ni zao la akili yetu na utashi wetu. Kwanini nimesema hivyo, naamini kila mtu ana mawimbi ya akili ambayo hutengeneza program fulani ambazo hushughulika na maisha ya kila siku. Hivyo kama mtu akijaza program hasi kwenye akili yake atatoa kitu hasi, vivyo hivyo mtu akijaza program chanya atatoa kitu chanya, kwa wataalamu wa kiingereza wanatumia istilahi ya 'GIGO' yaani Good in, Good out. Bila kupoteza muda napenda kuzungumzia mambo matano unayohitaji ili kubadili maisha yako. Mambo matano (5) unatohitaji ili ubadili maisha yako. Kuwa na Imani ( believe ) Hakika katika maisha kuna changamoto nyingi; kukatishwa tamaa, kuibiwa, kudharauliwa, kukataliwa n.k. katika haya yote amini kuwa kuna muda,namna na jinsi ya kuondokana nayo. Ni lazima uwe na imani na kile unachofanya, uwe mnyoofu na kuyapokea yote huku ukiwa na imani kuwa ipo siku ndoto na malengo yako uta...
katiba
- Get link
- X
- Other Apps
Katiba ni sheria au kanuni zinazoaInisha jinsi ambavyo nchi , chama , au shirika vitakavyoendesha shuguli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali . Katiba za nchi pia huaInisha haki za msingi za wananchi . Kuna aina kuu mbili za Katiba ambazo ni: (a) Katiba isiyo ya maandishi (ya kimapokeo) (b) Katiba ya maandishi