katiba

Katiba ni sheria au kanuni zinazoaInisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao.
Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huaInisha haki za msingi za wananchi.
Kuna aina kuu mbili za Katiba ambazo ni:
  • (a) Katiba isiyo ya maandishi (ya kimapokeo)
  • (b) Katiba ya maandishi

Comments

Popular posts from this blog

Mambo matano( 5) unayohitaji ili kubadili maisha yako

UWE HALISI KATIKA MAISHA